@MkulimaKante Wale jamaa kabla ya kuja ule mkutano wa Berlin pale aisee Leo lililkuwa ni moja waje kutuvulugia dini yetu ���ndio maana walivokuja wakaanza kupandikiza vitu vyao kwa lengo la kusema wanasambaza dini hao Ethiopia hawakutaliwa Kwasababu walikataa kuipokea ile dini yao.
Nimemaliza
@GermanyTanzania@mfa_tanzania Habari za mchana UBALOZI WA UJERUMANI
samahani nilikuwa Naomba kazi yoyote hata ya usafi katika ofisi zenu ili niweze kuilisha familia yangu🙏🙏
Naitwa Remigius Nina Miaka 26 Nipo mwanza Nina mke.