@fatma_karume@HildaNewton21 Tusimlaumu sana Salim huenda hata hali halisi haijui coz ni diaspora na huenda hata katiba yetu haijui vizuri maana angekuwa anaijua angemuuliza maswali lukuki coz majibu yake yalikuwa yanakiuka baadhi ya vifungu pia msisahau alikuwa uwanja wa ugenini so hawezi kucheza freely
@shagy_cobra@AnethStanley@OKumwembe Ushaambiwa ni chanjo so haiwezi kuwa 100% effective as long as ni kazi ya mwanadamu. Kinachoangaliwa ni uwezo wa kupunguza maambukizi kwa watu kupewa chanjo. Kwani hujawahi ona mtu anaumwa ugonjwa fulani na akapewa dawa ya kutibu huo ugunjwa na asipone??
@JerryJamali Upo wrong.
1. Barabara hajajenga kwa pesa zake.
2. Ilikuwa wajibu na lazima kwake kujenga tena na zaidi ya hizo coz alikuwa akilipwa mshahara na marupurupu mengine kwa kodi zetu kwa kazi aliyokuwa akiifanya.
3. Hakujenga bali alisimamia ujenzi sisi watanzania ndo tumejenga.