@Eric__Bernard Nchi nyingi za ulaya wameweka bei ya petrol iwe juu ili kuwalazimisha wananchi wao wanunue magari ya umeme kwa sababu wanasema gari za mafuta zinaharibu hali ya hewa zinaharibu hali ya hewa, kufika 2040 wanataka kusiwe na magari ya petrol ni sera tuu