Mtokafar
Songwriter/liveparformer๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Signed ๐๏ธ@wakusini_music
Director ๐๐๐๐๐
#Mtokafar
Manager @farmedia
Talent play more than professional
Kuna huyo mdada tulikutana mtaani, tukazoeana sana yaani alikuwa chumvi kwakwe sukari kwangu Tunaazimana kama MERIJAAH tu ya mbosso, ishu ilikuja kwenye kupendana, mm Job na Baka zilikuwa hazikabi na ukimcheki ni AVIOLA Mtupu, Alikuwa na mashida mengi sana matatizo ni shazi...>
Bibie akasema nayeye anataka akaogelee na anataka akafundishwe kuogelea na yule mwamba, Aaaah mm nikaona hii mbona sio kweli nikavua nguo Nikazama majini kumbe nimeingia kina kirefu, u AI(ujuaji) ukaniisha yule mwamba akaja kuni saidia Mda huo Sina PAWA Aviola akaenda kwa yule..>
Ko Bibie akaenda kuogelea na yule ASUMANI mm nipo zangu nime mind njee na mdada mdahuo anainjoy tu kama mashabiki wa Yanga, Basi mda kidogo tukajichenga jaribio la kujiaibisha likaferi haikupita hata week nikamuona Asumani profile ya Bestie ๐ฅฒ swala likawa gumu ....>
Kuna siku nilimtoa out Ili nikajizalilishe liwalo na liwe Nisha fanya vingi akigoma basi, Basi tukaingia beach sehemu moja ivi ududu mwingi kumetulia ni working day so watu wachache tuka poa Kama NUSUSAA ivi akaja mwana, akatupa hi akaingia swimming, muuni naogopa maji ..>
Na mm ndio nilikuwa rafiki ake TENA wazazi wapo Tukuyu ndichi huko Hataapige Cm 100 sometimes haziokotwi, Muuni nikasema Chimbo sindio hili niishi, Mistake sikumwambia B4 kuwa Hata ukimuweka Baba Esta na Zimbwe Bado hawakabi, Basi alikuwa akiumwa namcare vimatumizi flan nampa..>>
Kale ka feeling kipindi nasoma:-
Jumamosi weekend
Jumapili weekend
Jtatu Eid mosi
J4 Eid pili
J5 Mvua kubwa (dar)
Alhamis shule
Ijumaa Weekend inaanza
jmosi weekend
Jpili weekend
Jtatu Karume day
What a feeling๐
Huu Mwezi Ukitongoza ๐งunaambiwa Unaniharibia Swaumu nipo na mfungo wa Ramadan ukifwata โ๏ธ Anakwambia yupo Kwaresima ๐ Ok Valentine day Sio Mbali sana๐