Ikiwa Dunia na Taifa letu Kwa ujumla tunapambana kuchukua tahadhari juu ya ugonjwa wa COVID-19. Hivyo watu wengi wamekuwa wakibaki majumbani kuepuka mikusanyiko isiyokuwa ya lazima. Watu wamekuwa wakichukua nafasii hii kuwafanyia ukatili watoto,wanawake pia wanaume.
When a child learns to walk and falls down 50 times, they never think to themselves “maybe this ain’t for me?”
You only fail when you stop trying.
Follow me if you agree.
Ikitokea unasemwa bila wanaokusema kujua kuwa unawasikiliza, wewe usiwasitue. Tambua Malaika wako yuko kazini. Usimuingilie. Ukiwastua utawakatisha wasiendelee kukusema na pengine utakosa jambo la muhimu lililokusudiwa ulisikie ambalo walikuwa bado hawajalisema juu yako.
Kama vipimo vimeonyesha Una Virusi vya UKIMWI n Bora kuchukua hatua ya kumlinda mwenza wako na Jamii nzima ili kuepuka ongezeko la maambukizi mapya ya UKIMWI kwenye jamii
#RafikiKapimeHIV