@Sativa255 Leo za uso nyingi nimeanza na Como, nika rebet Leicester akapita nao , nika rebet tena Villarreal kanigongesha tena itoshe kusema muhindi shikamo
Mzee wangu MWANDAMBO anatumia Lugha nyepesi sana kuelewesha watanzania.
Usipoelewa hapa Uza simu hiyo kaongeze kwenye mtaji wa biashara yako.
Repost 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Hakuna baraka kubwa ya kifedha kama kuwa na wazazi wanaojiweza...
Vijana wengi sana wanachelewa kupindua meza kwasababu ya kusaidia wazazi wako
Kihisia, kimaendeleo na kifedha vijana wanaumia sana, ila hakuna jinsi😩
Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano yasiyo na kikomo yaliyopangwa kufanyika kuanzia December 09, 2025 kwakuwa maandamano hayo hayana sifa na hayakubaliki Kisheria.
Akiongea leo Disemba 05, 2025 Msemaji wa Polisi, David Misime amesema “Maandamano hayo yanayopewa jina la maandamano ya amani na yasiyo na kikomo yamekosa sifa za kisheria za kuruhusiwa kufanyika na kwa kuwa yametangazwa kufanyika nchi nzima, kwa kuwa hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa na ofisi yoyote na Mkuu wa Polisi wa Wilaya”
“Polisi inapiga marufuku maandamano hayo yasifanyike na Jeshi la Polisi linatoa wito kwa Watanzania na wasio Watanzania walio nchini wayakatae na wayakemeee kama yanavyohamasiahwa”
#MillardAyoUPDATES