@tonymaster01 Kulingana na mapokeo ya kanisa la awali, mtume Mathayo aliuawa shahidi huko Ethiopia (Afrika) baada ya kuchomwa upanga mgongoni kwa amri ya Mfalme Hirtacus. Mapokeo mengine yanaonyesha kwamba Mwinjilisti Marko alikufa huko Alexandria, Misri, baada ya kuburutwa mitaani.
@IssaRamji24969 @Exquisite_255 Uingereza na Ufaransa Wana Nalaka za mwanzo Quran kwenye makumbusho na watu waruhusiwa kuziona. Ya Uturuki mbona hamruhusu kuiona?