@MdeePaschal Kweli kabisa viongozi wetu wa BAKWATA wanachofanya ni kuchochea uhasama walifaa wazungumzie Haki zaidi kabla ya Aman kwasababu hakuna Amani bila ya haki, na kingine kwa hizo kauli wanaweza kuleta chuki baina ya Waislamu na wakristo kwenye nchi
Dear @FIFAcom and @CAF_Media
Football should be fair, but Young Africans Club’s actions are not right. The club donated 100 million shillings to the ruling party, causing political division and Death in Tanzania.
Please investigate Young Africans Sports Club in Tanzania.
Uadilifu ni nguzo ya amani, na kuheshimu uhai ni msingi wa ubinadamu. Dhulma dhidi ya uhai ni dosari kubwa kwa maadili ya Dini na Utu wa mwanadamu. Tuwe viongozi wa haki, walinzi wa uhai, na wabeba amani inayochipua kutokana na huruma, hekima, na uadilifu wa kweli.
“Hakika Mwenyezi Mungu anaamrisha uadilifu, na ihsani, na kuwapa jamaa haki zao; na anakataza mambo machafu, na maovu, na dhulma.”
(Qur’an 16:90)