@Rahim_Meghji Bado mnajaziwa vyeti vya kuzaliwa? Siku hizi mbona unamaliza kila kitu mwenyewe online, tena kwenye kochi huku unasukumizia na kahawa taratiiiibu! RITA unaenda kufuata cheti tu, tena wanakupa mpaka siku na muda wa kwenda! Na mchakato ni siku 5 tu!
@Nindi_Jr Script i aonesha Homo Aqua walikuwa mbele kiteknolojia..
Ila eti ghafla tukawashinda kwa "Man Made Virus"..
Kama waliweza kusafisha bahari zote na uchafu ukaja nchi kavu ndani ya dakika kadhaa, isingekuwa rahisi kuwamaliza vile kwa kirusi tu!
Uongo usioshawishi!!!
@MsomiKhan18 Intern hawajafanya..
Wakimaliza hapo wakapambane na vijiwe kwanza..
Atakayeajiriwa tamisemi gross salary ni 1.4M..
Atakayefanikiwa kupata ajira za taasisi ndo inaanza na hiyo 1.8M..
Lkn mwisho wa siku, take home zinacheza mulemulee, tofauti inakuwa 100K-300K.
@mjamaikaJr UONGO 100%
98% ya vipanga huwa wana miandiko mizuri, japo inaweza isiwe yenye bakshishi lakini inasomeka na kueleweka na inakuwa na ka format flani.
99% ya vilaza wana miandiko mibaya. Ni nadra sana kumkuta kilaza mwenye mwandiko mzuri.
@chapo255 Ilimtokeaga jamaa yangu, alimtoa dogo bush kwao, akamtafutia kazi kwenye kiwanda cha kuku, baada ya mwezi dogo akasema hawezi kazi... Akaamua kumrudisha bush tena๐คฃ๐คฃ๐คฃ