Naomba repost yako familia 🤝,
Kwa Spare parts imara za pikipiki chimbo ni moja tu kwa SAM SPARE PARTS pale NGUSERO ARUSHA tunauza jumla na rejareja Karibuni sana wateja wetu mjipatie spare parts imara za pikipiki kwa bei nafuu sana,
Mawasiliano: 0754936565.
Watu wananiuliza kwanini napendelea sana kuspend muda wangu mwingi huku X. Ukweli ni kwamba X ndio mtandao pekee unaokutanisha watu wengi na kuruhusu mazungumzo ya wakati halisi (real-time), maoni na kizuri zaidi watumiaji wake wengi wanaishi kutokana na wakati.
Yule jamaa saizi alishajiharibia heshima aliyojijengea kwa muda mrefu na uaminifu kwa wana.
Kila aki tweet utaskia ...
'Unatushauri nini na ulitaka kulambwa mk*ndu' 😂