@mxl360@kasesco_tz@Ayodimejitz Unapoteza vyote na hayo ndio majarbu ya mungu kwako pesa hii hapa unaishika inakuja drama kubwa tu ndio maana utasikia jamaa alikuwa vizuri TU ila baada ya ile inshu ya mwanamke mwamba maisha yake yakaisha hapo hadi sasa ushauri nikuacha hizo habari za kutaka kujua wako au sio bc
@mxl360@kasesco_tz@Ayodimejitz Bora usitafute jambo ulilofichwa liache hivyo hivyo make ukijua uwii na mungu wetu jambo kama Hilo huja wakati ambao wewe ndio unajituma kusaka pesa na mwanga wa biashara umeisha onekana na unafurahi sana sasa utachagua kuyumba au uendelee kusaka hizo pesa make usipokuwa makin
@mxl360@kasesco_tz@Ayodimejitz Ndugu wewe acha tu huyo anaekataa mtoto arudi nyuma kutazama watu wakitafuta watoto hadi kumua kwenda kubeba vituo vya kulea watoto yatima na kuomba kuishi nao inahitaji akili sana wanaume watulie kwenye hili jambo kumbe wanaume wagumba ni wengi Dunia inasiri ina mambo
@mxl360@kasesco_tz@Ayodimejitz Neno utulivu ni kaneno kadogo sana ila ukiweza kuwa mtulivu basi wewe ni mshindi inakupaswa utulie kabla ya kuhukumu wanaume wengi tunalea viumbe visivyo vyetu kwa 70% mim nilikuja kujua Mzee wangu nina miaka 31
@mxl360@kasesco_tz@Ayodimejitz Demu hashiki Mimba basi jua wewe ndio chanzo kuwa huna uwezo wa kutungisha ukisha jua basi hutakuwa na budi kumununia huyo mwanamke hapo wewe sasa utaanza vita na mungu kwakumulaumi kwanin mungu zitakuwa nyingi sana hapo utaanza kuchagua kuishi na huyo mtoto akufichie aibu au laa