@emmanue43802982@lufingohawa@AdvocateKondele Binadamu wote wana roho ngumu, roho ngumu au ujasiri unakuja automatically mara baada ya kugundua hakuna jinsi juu ya jambo fulani. Omba sana mungu hari hii isikukute ktk maisha yako.
@Eric__Bernard Kiingereza ni lugha kama lugha nyingine, atakayejifunza atajua hata kama hajasoma shule. Na hapo hatufahamu kama huyu binti anaijua kweli lugha ya kiingereza mbali na hicho alichokalilishwa kwa ajili ya speech? Labda tukikutana nae au angetokea mjuaji mwenzake hapo wabonge tuone
@Sativa255 Kuna rafiki yangu ananishawishi kuhusu 2024pesa mwaka wa pili sasa lkn roho yangu imekataa kabisaaa.
Nayo inafanania na hii, emu serikali waifatilie tafadhari
@nulphin Sa best friend unalia afu mke wa marehemu atamfariji nani? Mwanaume halii msibani kuzimia never. Unafuta chozi lisilo na sauti one second na hakikisha chozi lako halionekani na msenge yeyote. Kalilie hata chooni not more than 30 seconds. Hii code muishi nayo wapwa
@mdudenyagali Manjagu wangempa nafasi tu ajiunge na unjagu, licha ya ujasiri aliokuwa nao pia anaonekana unjagu anaupenda. Dogo nampa respect π π ningekuwa mkuu wa kitengo ningempeleka depo ajiunge na jeshi
@Jambotv_ "Mabadiliko kwenye mfumo wa uchaguzi" inaleta mantiki mana ukifanya tafakuli hasa kwenye nafasi za ubunge wa majimbo haiwezekani 95% ya wabunge wote ndani ya bunge ni chama kimoja. Lazima kutakuwa na namana tu
@Labella_Mafia95 Ushasema Rocky ni muhuni kutoka magetoni aliyejitafuta kufa kupona na akajipata. Sa mtoto wa kike asitulie kwa sababu gani?
Sometimes mademu wanatupenda wahuni wapambanaji kuliko watoto wa kishua wapambanaji