Namshukuru Mungu kuamka salama katika siku ya kumbu kumbu ya kuzaliwa kwangu, naisherekea kwa mambo ma 3, nampa zawadi mama jonii, naenda kutoa zawadi ya vitabu kwa shule ya msingi jirani na ninapoishi (mashujaa primary school) na kwa mashabiki wangu nitatowa wimbo mpya baadae
Leo ninatimiza miaka 43 toka nizaliwe. Ahimidiwe Allah aliye Mkuu kuwa bado Nipo hai mpaka sasa. Najua ni kwa utashi na kusudio lake. Namshukuru Na nazidi kuomba kwake shufaa, siha na mafanikio tele. Ninawashukuruni nyote kwa dua zenu. Tudumu kwenye sala ndugu zangu 🙏🏿