On April 29, 2026, JamiiCheck is honored to join World Press Freedom Day in Arusha to lead a session titled "From Mis/Disinformation to Meaningful Participation: Using Media Monitoring Insights to Strengthen Democratic Resilience."
Our presentation demonstrates how data-driven analysis informs practical responses to counter False narratives and foster genuine citizen engagement. We will share vital trends from our recent monitoring efforts in Tanzania, highlighting how these patterns influence Public discourse.
Join us as we collaborate to build a more informed and participatory digital future.
#WPFD2026 #JamiiCheck #PressFreedom #DigitalDemocracy #InformationIntegrity
Waandishi wa habari 40 kutoka vyombo mbalimbali jijini Dar es Salaam wamepatiwa mafunzo ya Uhakiki na Uthibitishaji wa Taarifa, hatua inayolenga kuimarisha mapambano dhidi ya #TaarifaPotoshi katika zama hizi za Kidijitali.
Mafunzo hayo yaliyotolewa na JamiiCheck Machi 9, 2026, yaliwapa washiriki fursa ya kujifunza kwa vitendo Mbinu na Nyenzo za Kidijitali za Kuhakiki na Kuthibitisha Taarifa, pamoja na matumizi sahihi ya Akili Unde (#AI).
Baada ya mafunzo hayo, Washiriki waliahidi kutumia kikamilifu ujuzi walioupata ili kusaidia kuhakikisha Wananchi wanapata Taarifa Sahihi zitakazowawezesha kufanya Uamuzi Sahihi kuhusu masuala mbalimbali katika Jamii.
#VisitJamiiCheck #FactsCheck #HakikiTaarifa #FactsChecking
Februari 18, 2026, Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (#UTPC) ukishirikiana na JamiiCheck, kupitia Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Geita (#GPC) umetoa mafunzo kwa Waandishi wa Habari 21 kuhusu Masuala ya Uhakiki na Uthibitishaji wa Taarifa
Kupitia mafunzo haya, Waandishi wa Habari walipata fursa ya kujifunza Mbinu na Nyenzo mbalimbali za Kisasa za Kuhakiki na Kuthibitisha Taarifa pamoja na Matumizi ya Akili Unde (#AI) katika kuongeza ufanisi wa kazi zao.
Pamoja na mambo mengine, Washiriki walipata nafasi ya kuelezewa Jukwaa la JamiiCheck, namna linavyoshirikisha Wananchi katika Kuthibitisha Taarifa pamoja na mchango wake katika kudumisha Weledi wa Taarifa Barani Afrika
#JamiiCheck #UTPC #Disinformation #Misinformation #FactsMatter
Mkuu wa Idara ya Uhakiki na Uthibitishaji wa Taarifa kutoka JamiiAfrica, Innocent Mangu anafafanua umuhimu wa Elimu ya Uthibitishaji Taarifa pamoja na upatikanaji wa Taarifa Sahihi kuwa chachu ya kuzuia usambaaji wa #TaarifaPotofu.
Tembelea https://t.co/W8HIxVoqeH kujifunza mbinu za kidigitali pamoja na kupata msaada wa Uthibitishaji wa maudhui yanayokupa mashaka kuhusu uhalisia wake.
Soma https://t.co/CnCqdhaPFw
#JamiiCheck #Misinformation #Disinformation #VisitJamiiCheck #HakikiTaarifa
“Kila ubunifu tunaofanya lazima uendane na mazingira sahihi. Popote tunapofanya kazi, tunabuni bidhaa zinazolingana na uhalisia wa watu tunaowahudumia,” - Innocent Mangu, Mkuu wa Idara ya Uhakiki na Uthibitishaji wa Taarifa wa JamiiAfrica (@JamiiForums) #FactChecking#Innovation
May we also #PrayTogether for #Tanzania, where, following the recent elections, violent clashes have broken out, leaving many victims. I urge everyone to avoid all forms of violence and to follow the path of dialogue.
@BongeLaAfya Sahihi. Huu ni ukweli mchungu. I've been there, na nimeona wanavyohangaika wakirudi. Siwezi kushauri mtu asome hiki kitu, ni upotevu wa pesa na muda.
Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (#UTPC) ukishirikiana na JamiiAfrica umetoa mafunzo kwa Waandishi wa Habari 21 Mkoani Tabora kuhusu Masuala ya Uhakiki na Uthibitishaji wa Taarifa kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Kupitia Mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku mbili, Oktoba 1-2, 2025, JamiiAfrica iliwajengea uwezo juu ya dhana nzima ya #TaarifaPotofu, mbinu zinazotumika kuzalisha na Kusambaza Taarifa hizo pamoja na Athari zake hasa katika michakato ya Kidemokrasia.
Mafunzo yalihusisha pia Mbinu za Kisasa za Kidigitali zinazoweza kutumika kukabiliana na changamoto za uhakiki wa taarifa, Matumizi ya Akili Unde (#AI) pamoja na Ushiriki wa Jukwaa la https://t.co/W8HIxVoqeH katika kuchochea Uadilifu wa Taarifa barani Afrika.
#JamiiAfrica #Misinformation #Disinformation #JamiiCheck
Septemba 25, 2025, timu ya JamiiAfrica ilishiriki kwenye Mkutano wa Uhuru wa Mtandao Barani Afrika 2025 (#FIFAfrica25) uliofanyika jijini Windhoek, Namibia ikiungana na wataalamu na taasisi mbalimbali kujadili changamoto ya #TaarifaPotofu Barani Afrika.
Mjadala huo wenye mada “Kurejesha Imani: Mbinu zinazoongozwa na Jamii Kukabiliana na Taarifa Potofu Barani Afrika” uliangazia vyanzo vya Upotoshaji, Athari zake kwa Jamii na Demokrasia, pamoja na nafasi muhimu ya jamii katika kushiriki mchakato wa kukabiliana na Changamoto hii.
Kupitia Mjadala huu, JamiiAfrica ilionyesha uzoefu wake kupitia #JamiiCheck, jukwaa la Uthibitishaji na Uhakiki wa taarifa linaloshirikisha Wananchi, likiwa na lengo la kuwawezesha watu kuhakiki taarifa wanazokutana nazo ndani na nje ya Mtandao.
Aidha, mjadala huu ulizungumzia pia mpango wa JamiiAfrica wa kupanua wigo wa shughuli zake kwenye nchi nyingine Barani Afrika huku ikilenga kuimarisha uadilifu wa Taarifa barani kote na kuhakikisha jamii zinaendelea kuwa kiini cha mapambano dhidi ya Taarifa Potofu.
#JamiiAfrica #UhuruWaMtandaoAfrica #FIFAfrica25 #JamiiYenyeUelewa
Forum on Internet Freedom in Africa – Windhoek, Namibia.
I was honored to speak as the Information Integrity Lead at JamiiAfrica, a rapidly growing institution now expanding its operations across Africa.
The wait is over: Our session is happening today at #FIFAfrica25!
In collaboration with iWatch Africa, JamiiAfrica is hosting a panel at the Forum on Internet Freedom in Africa 2025, Windhoek, Namibia. From 11:30 AM – 1:00 PM (CAT), experts from Ghana, Uganda, and Tanzania will lead an interactive discussion.
We’ll explore trends in #Disinformation and #HateSpeech across Africa and highlight citizen-driven solutions. Tools like DisinfoEye and #JamiiCheck will show how community-centered approaches strengthen fact-checking, digital safety, and protection from online abuse.
Join us today for this vital conversation on safeguarding information integrity!
#JamiiAfrica
#InternetFreedomAfrica
#FIFAfrica25
#JamiiYenyeUelewa
The countdown is on: Save the date for our session at #FIFAfrica25!
In collaboration with iWatch Africa (Ghana), JamiiAfrica will host a session at the Forum on Internet Freedom in Africa 2025 in Windhoek, Namibia. On 25th September 2025, policymakers, Journalists, regulators, and human rights defenders will join our interactive panel discussion featuring four information integrity experts from Ghana, Uganda, and Tanzania.
The session will explore #Disinformation and #HateSpeech trends in Western and Eastern Africa, and showcase CSO-driven solutions.
Practical tools like DisinfoEye and #JamiiCheck will illustrate how citizen-centered approaches enhance fact-checking, digital safety, and protection from online harassment.
#JamiiAfrica
#InternetFreedomAfrica
#FIFAfrica25
#JamiiYenyeUelewa
a 90-day ban on @JamiiForums is a huge blow to the people’s right of access to information, leaving a gap that cannot be filled. i join others in condemning this very bad move, aimed at intimidating independent publishers. sending love and solidarity to max and his entire team 💛
LHRC stands in solidarity with Jamii Africa @JamiiForums after the recent unfriendly invasion at their offices. We strongly condemn such acts and we are closely monitoring the situation to ensure truth prevails.
#SolidarityWithJamiiAfrica#DefendDigitalRights
Taarifa za kuvamiwa kwa Jamii Forums ni Shambulio dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya uhuru wa wananchi.
Huu ni uthibitisho mwingine mwa namna Nchi hii inateleza kuingia kwenye giza kubwa la udikteta.
Tunalaani kwa nguvu zote.