"I couldn't have picked a better game"
Noni Madueke reacts to scoring his first ever Champions League goal after beating Bayern Munich 3-1 ๐
@tntsports & @discoveryplusUK
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda amehitimisha mafunzo ya awali ya kijeshi kwa Askari wapya katika Shule ya Mafunzo ya Kijeshi ya Kihangaiko, iliyopo Msata, Wilayani Bagamoyo, Mkoani Pwani.
Katika hafla hiyo Askari waliohitimu waliapa utii mbele ya CDF, ambapo Jenerali Mkunda aliwataka kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia kiapo, kulinda mipaka ya Nchi, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kumtii Rais na Amiri Jeshi Mkuu.
Aidha, aliwasisitiza kutunza afya zao na kuzingatia misingi minne muhimu kwa Mwanajeshi ambayo ni nidhamu, utii, uhodari na uaminifu, akisisitiza kuwa Taifa linawaamini na linawategemea katika kulinda usalama wa Nchi.
#MillardAyoUPDATES