Moja ya maajabu ya Mungu ni kwamba:
Wakati anakurejeshea ulichokipoteza, harejeshi kile ulichokipoteza peke yake, bali anakuongezea na vingine vingi ambavyo hata hukuwahi kuvifikiria kama utavipata.
“Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA”. - Zaburi 118:17