@InteriorZoo@Muddyaforeal Akawa amekariri sura 114 na verse zaidi ya 200k+ bila kuandikiwa wala kusoma popote ilhali yeye mwenyewe hakujua kusoma wala kuandika
Unahoji kama nani mzee? Nani kakupa mamlaka ya kuhoji mambo ya waslamu, kama unata elimu nenda madrasa mzee, humu utapata engagement ila sio elimu ambayo watu wabaisoma miaka uipate kwa tweet yako moja.
@Muddyaforeal@InteriorZoo Kama ni hivo yeye ndio angekuwa na uwezo mzuri wa kujiandika,vipi kwa Hawa wengine nani aliwasomesha mpka wasisahau hadi kuamua kujiandika! Nani aliwapa mamlaka ya kuiandika
@kitunani@nassor_01 Hakuna hoja mloiandika mazee, mmejibiwa kwa wema mnaleta ujuaji, sa unaumiaje kuitwa KAFIRI tu, mbona ni jina tu la hadhi yako bro.
@nassor_01@Muddyaforeal Table Teaching..
Malaika alikuwa anashuka kumpatia maaniko alotuma kwa siku hiyo na kumfundisha. Then yeye anawafundisha Maswahaba, mpaka Quran ikatimia na hapo pia aliambiwa kuwa hapa ndio mwisho.
@Mudimabiriani Anayewadanganya kwamza ukihama kwenu na kwenda nchi nyingine maisha yanakuwa mazuri mnatakiwa kumkamata na kumkabidhi polisi. Kama huna juhudi za kutafuta, hata uende wapi, maisha yatakuchapa tu.
Huyu jamaa sijui anaitwa nani ila ananishangaza yeye mlinzi kwenye muvi anayocheza ila anapiga ngeli hatari kuliko wenye hela.
Ila Bongo muvi hazina uhalisia 😀