Mwaka 2022 nilipitia Hali mbaya sana ya Msongo wa mawazo. Naishuku @cloudsfm kupitia kipindi chake Cha #powerbreakfast walifanya mahojiano na @KalunguG Mwanasaikolojia pia mwandishi wa vitabu kwa kipindi hiko aliandika kitabu kinaitwa afya ya akili Aliniletea mpaka nilipo.......
@moodewji Umasikini ni nusu ya ukafiri.
Umasikini mbaya jamani.
Umasikini unauna unaumiza unatesa sio kwamba watu wanapenda kutenda dhambi ni umasikini.
@MsigwaPeter Msigwa maswali yaliyojirudia zaidi kwenye maoni ya watu wengi ni. Je ungepewa jimbo na muda huu ungekua bungeni ungethubutu kuacha ubunge ili urudi chadema?