@JayleenRickie ๐๐๐๐Hii nimewahi fanya nikaacha nilivyoanza kukaa kwenye room ya Choo ndani, ila nilicheka siku nimeingia kwa mwana mmoja ๐๐๐ amejaza yale machupa makubwa ya Lita 12 ๐๐๐
@mzigava @MrDepalitto7 Ameweka team nying bonus imefika kwenye Asilimia 500% ndo mana imekuja hvyo.. Hii huikuti popote ni betpawa pekee wenye bonus kubwa Namna hii