Nimejaribu kutengeneza mkeka wa World Cup pale Sportybet kama mwanetu 39Million anavyotengeneza(ga).
Nimepata odds 10,371+ nimejaribu kutia buku dala imekuja milioni hamsini ๐๐
Repost hapa ikiwa unataka code ya hilo treni.
๐ท
WhatsApp Group No 1โคต๏ธ
https://t.co/h6TcyeMk8D
PART 2: HIZI MBINU 10 ZINAWEZA KUOKOA MAISHA YAKO SIKU MOJA
9. KAMA UNAJISIKIA KAMA UTAPOTEZA FAHAMU AU KUZIMIA
Kaa chini na inua miguu juu kidogo.
Hii husaidia damu kufika vizuri kwenye ubongo.
10. KAMA UMELAZIMIKA KUKAA MUDA MREFU NA MIGUU INA GANZI
Simama na tembea kidogo kila saa.
Hii itboresha mzunguko wa damu na hupunguza risk ya deep vein thrombosis.
11. KAMA UMESHIKWA NA KIKOHOZI CHA GHAFLA
Shikilia pumzi yako kwa sekunde chache au kunywa maji kidogo kwa haraka itasaidia diaphragm kurekebishwa.
12. KAMA UNA MAUMIVU YA KICHWA YA GHAFLA (TENSION HEADACHE)
Massage sehemu kati ya kidole gumba na kidole cha shahada, au fanya gentle neck stretches.
Hii hupunguza tension kwenye misuli ya kichwa na shingo.
13. KAMA UMECHOKA SANA KIAKILI
Fumba macho kwa dakika 2โ5 bila simu wala kelele. Itarekebisha ubongo kama reset ndogo.
14. KAMA UNAJISIKIA BARIDI AU STRESS GHAFLA
Jikumbatie au fanya kwa sekunde 20โ30. Mwili hutoa homoni za utulivu (oxytocin).
15. KAMA UNAHISI KUZIDIWA NA HISIA (EMOTIONAL OVERLOAD)
Andika unachohisi au sema na uongee kwa sauti peke yako. Hupunguza mzigo wa kihisia na kuleta clarity.
16. KAMA UNA MAUMIVU YA TUMMY AU STOMACH CRAMPS
Lala chini, jaza tumbo kwa kupumua taratibu (diaphragmatic breathing). Hii husaidia kupunguza maumivu kutokana na spasms.
17. KAMA UNA HIGH BLOOD PRESSURE YA GHAFLA
Fanya deep breathing na kaa kwenye place tulivu, itasaidia pulse na BP kwa muda mfupi. (Hii ni emergency mild; kwa BP high sana, shauriana na daktari)!!
18. KAMA UNAJISIKIA KAMA UTAPOTEA KWA DAKIKA CHACHE (FAINTNESS)
Vuta hewa safi, kaa chini, na unywe maji kidogo. Hupunguza hatari ya kuzirai.
19. KAMA UNA KICHOCHEO CHA MZIO AU ANXIETY
Fanya progressive muscle relaxation, shikilia kila misuli sekunde chache kisha iachie. Husaidia mwili kutulia haraka.
Chukua na hii...โคต๏ธ
Hii 51K inabidi ituletee milioni tano kwanza kabla ya yote wiki hii
Kuna mkeka nauleta baadae una odds 103. Kwa 51K Unakula 5M, kwa 5K unakula 500K
Repost kisha wahi DM kama huna mtaji ๐