Kwenye Maisha jifunze kuonesha upendo wa dhati Kwa anae vutia moyo wako, ila usisite kuacha pale unapo ona hathamini upendo wako, geuka na uende sehemu ambayo upendo wako utathaminiwa.
UPENDO NDIO HAZINA YETU. @isnam_mgongo17@ShomariSkipper
Huchukua miaka mingi kuujenga uaminifu kwa watu lakini huchukua sekunde kuuvunja uaminifu huo… Ilinde thamani Yako…Utaaminika.
@ShomariSkipper@MatanzaAbdallah#SheriaKali
Wakati wowote unapokuwa kwenye mzozo na mtu, kuna sababu ambayo inaweza kufanya tofauti kati ya kuharibu uhusiano au kuuimarisha uhusiano. Sababu hiyo ni mtazamo.
@ShomariSkipper@MatanzaAbdallah#MtazamoTu.