Colon cancer is no longer an "old person's disease.”
It is now one of the deadliest and fastest-growing causes of death in people under 40.
Here’s what’s causing it (& how to protect your gut):
1. Eat a lot of ginger
Tarehe 21/3/1960 kule Afrika Kusini kwenye mji wa Sharpeville polisi wa Kikaburu wazungu waliwashambulia waandamanaji kwa bunduki na kuua watu 91 na wengine 238 kujeruhiwa. Mauaji haya kwa wale tuliosoma history yanaitwa Sharpeville massacre.
Haya ndio mauaji yaliyosababisha dunia kujua unyama na ukatili wa serikali ya makaburu.
Dunia ikapiga kelele na kufikia mpaka serikali ya makaburu kuwekewa vikwazo vya kiuchumi ikiwemo kuuza na kununua..
Wengi walihoji kwanini watu wapigwe risasi mgongoni? Maana huyu anakimbia kwanini umshambulie.
Leo 2025 miaka 65 baadae. Kwenye Nchi inayojiita huru . Polisi weusi na Watanzania wenzetu wameua maelfu ya watu..
Wengi wamepigwa risasi kwenye maeneo ambayo ni kuua na sio kujeruhi..
wengine kama ilivyokua kwa makaburu wamepigwa kwenye migongo wanakimbia.
Watoto wa miaka 11 wameuwawa, Wengine majumbani kwao, wengine wakiwa wanaangalia mpira.
CNN wametumbia watu wamepelekwa Mortuary wakiwa wazima kabla ya kufa.
Mpaka sasa ndugu hawajapata miili ya wapendwa wao ili wazike..
Kwasababu watu wanataka kubaki madarakani bila kuchaguliwa..
Alafu hawa wanataka Dunia inyamaze kwa Kailua kijinga kwamba, wanaosema ukatili huu wanatuonea wivu Nchi yetu!!! Nani anaonea wivu Nchi ya kuuana kama kuku, nani anaonea wivu Nchi ambayo watu wanatekwa kila leo, nani anataka kuishi kwenye Nchi ambayo mawazo tofauti na ya watawala ni uhaini!!!
Wajinga wengine wanasema, eti kupinga uchafu unaoitwa uchaguzi sio tabia ya Kitanzania!!!
Kwahiyo Utanzania ni kukubali uhuni, watu kujipa mamlaka ambayo hawajapata kikatiba..
Hii ni massacre kubwa kuliko Sharpeville, Kama Dunia ilivyowamurika makaburu weupe wakati ule , Dunia itamurika Makaburu weusi sasa .. Hakuna wa kunyamazisha hili hata mkiua kizazi chote mawe yatasema.
. @TunduALissu , the Tanzanian opposition leader who was arrested yesterday has this afternoon been charged with Treason. #FreeTunduLissuNow
Who is Tundu Lissu? we have profiled who Tundu is.
#FreeTunduLissu
Ndugu yetu anasema
"Tutasisitiza, na mahakama zitathibitisha, Haki ya Kikatiba ya Kukasirisha bila kwenda jela. Hili nakuhakikishia."
— Wakili Isaac Ssemakadde
Yani anasema tuna haki ya kukeraaa na kukukeraa lakini siyo kosa kisheria la kufanya mtu afungwe.
@MwananchiNews@mwigulunchemba1
Kuongeza kodi na ushuru hauta chochea kukua kwa uchumi, utaongeza makusanyo, lakini utadumaza uwezo wa wafanya biashara kukuza biashara zao, maana pesa nyingi itaenda kweny kodi na sii kuongeza mzunguko, kwa wanachi watadumaa pia ktokana na gharama kubwa
🙁🙁🙁
But perhaps you hate a thing and it is good for you;
And perhaps you love a thing and it is bad for you.
And Allah knows while you know not.
Quran [2:216]
Bob Marley was once asked if there was a perfect woman. He replies: Who cares about perfection? Even the moon is not perfect, it is full of craters. The sea is incredibly beautiful but salty and dark in the depths. The sky is always infinite, but often cloudy. So, everything that is beautiful isn't perfect, it's special. Therefore, every woman can be special to someone. Stop being "perfect", but try to be free and live, doing what you love, not wanting to impress others. I just love this!
Saudi Arabia is famous for oil, to be the origin of Islam, Arabian horses, the world's largest sand desert (Rub' Al Khali), the world's largest oasis (Al-Ahsa), Arabian coffee, oil, countless palaces, countless mosques and making Argentina look terrible.