Yule dogo Ibraah mstaarabu sana,
ile line yake anasema
🗣️zipu usimfungulie jirani tulia…..
Pale ingekuwa ni wale wanangu mabantu pale wangepita nayo nzima nzima ile bila tafsida….
Muda hawana wale!!😁
Wangesema
🗣️Chup👙usimvulie jirani kitulize.
Au wangenyooka kabisa
🗣️Pottasium usiigawe kwa jirani tulia
Muda hawana wale wakali
nyeupe nyeupe!!