Kimasihala unajikuta unapoteza Furaha/ugali wako 7bu ya mtu fulani. Kweli unampambania ila ukiona waungwana wameanza kukugusa pabaya acha kuendeleza mapambano maana ulipoguswa kunaeza leta madhara kwako familia yako.
Kuna watu hawana cha kupoteza.
Ishi kwa machale
Tunapewa support na watu wengi wasiotujua ila wanaotujua wanasubiri tufeli waanze kuthibitisha Maneno yao "Si nilisema hawezi kufika popote yule mimi namjua vizuri"