Raila Odinga, ni mtu asiyekuwa na fadhila na shukrani. Uchaguzi wa 2012 CHADEMA tulipeleka hadi magari na vifaa vingine kumsaidia dhidi ya Kenyatta. Uchaguzi wetu wa 2015 RAO akawa rafiki wa Magufuli. Hata baadae hakujali Magufuli alivyotusumbua. Kenya wanajua kitu cha kufanya.
SHAHIDI ANATOA USHAHIDI KATIKA KESI YA UGAIDI LAKINI ANASEMA HAJUI KAMA WASHTAKIWA WANASHTAKIWA KWA UGAIDI NA HAKUFANYIA KAZI MASUALA YA UGAIDI. MAMBO YA AJABU YAPO NCHI YETU TU..
Huyu Thomas Benedicto AKA Thomas Ben mbona kila mahali anaibuka 🤨
Kariakoo alivua nguo kuzuia meza zisihamishwe
Ghafla ni mwenyeji wa soko la Karume na kashuhudia mateja wanasababisha moto
Amulikwe 😒
Ila hizi hadithi za Alfa Lela Ulela muhimu sistem mjipange 😂 mnakurupuka mno!
Shahidi wa Serikali kwenye kesi ya ya Mwenyekiti @freemanmbowetz , ambaye ni Mdukuzi wa vifaa vya Kielektroniki, Afande Innocent Ndowo, ameiambia Mahakama kuwa kwenye uchunguzi wake kwenye mawasiliano ya Mwenyekiti, hakukuta viashiria vya matendo ya Ugaidi.
#MboweSioGaidi
Jana nimeletewa video hii na nimeshtuka SANA!
Mtu mzima ha”potei” na kwa bahati mbaya naona kama jamii haijashtushwa! Familia imefika vituo vyote vya polisi na mortuary mbalimbali!
Kama kuna mtu ana taarifa yoyote asikae kimya
Sikilizeni details hapa https://t.co/yxFUfxHd0H
Waziri mkuu ndiye mtendaji wa shughuli zote za serikali? Je tukisema kwasasa waziri mkuu ndiye mtendaji wa shughuli zote za uongo nchini tutakuwa tunakosea?Mifano ni hii magufuli yupo mzima anachapa kazi? Ripoti Morogoro? Ripoti Kariakoo? Sasa ripoti Karume? tunataka #KatibaMpya
Dear Mama @SuluhuSamia KAMATI anazoundaga PM hazileti majibu ya MAAFA haya yanayoendelea NCHI sioni sababu ya AWAMU ya 6 kuendelea kuwa na aina hii ya PM MAJALIWA ikumbukwe ameanza muda mrefu kuunda kamati za MAAFA na hajawahi kutupa mrejesho TANGU ile AJALI ya MOTO MOROGORO..
Mistari ya pundamilia hapa inawakilisha miradi ya maendeleo ambayo inajengwa na haina faida kwa walipa kodi. Na sasa wanajenga madaraja makubwa pasipokuwa na uhitaji. Na watavuka wadosi kwenda kupumzika. Sawa na mistari hiyo imechorwa porini. Nani atavuka? Tortoise? Shabaash!
Ushahidi huu ndiyo ndugu yangu Zitto Kabwe na zambarau wakafunga safari hadi Dodoma kusema Freeman ana changamoto za kisheria hivyo asamehewe na HANGAYA akasema nafasi ya msamaha ipo? Kwamba Freeman aombe msamaha kwa huu ushahidi tunaohadithiwa hapa? Sio Freeman ninaemfahamu!
Bro Wile
Hiyo Kazi yako Mpya Bungeni unakaa Eneo gani.? La Mawaziri.? Jaribu Uone
Kwenye Baraza La Mawaziri Unaingia kama nani.? Wanaoingia Mle wametajwa na Sheria,Nenda ukafukuzwe
Wamekupa Katibu Wa Kuratibu kazi zako..?
Wamekupa Ofisi...?
Wamekupa Vitendea kazi.?
Daaaah
#Airtel Tz wameshauza Number ya Simu ya Mtuhumiwa Khalfan Bwire kwa Mteja Mwingine,na number hiyo ilikuwa na Pesa ambazo wakili wa serikali wanadai ni Pesa za Ugaidi. Shahidi anasema Pesa hizo zimewekwa kwenye Collection Acc.Thats means Collection Acc ya Airtel ina Pesa za Ugaidi
Mteja asipotumia number ya simu kwa siku 90 inatakiwa iwe DEACTIVATED.Khalifan Bwire alikamatwa August 2020,Polisi walipeleka Airtel barua ya kuomba Taarifa Khalfan Bwire July 2021, miezi 11 baadaye. January 2021 number ilishauzwa kwa Godson Mnuro.
Wonders shall never end
Natafakari awamu ya Sita na Kituko Kipya cha Kufundana Hadharani.
Baraza la Mawaziri Wapo Live TBC wanaonyana Kuacha Kurogana (Uchawi), Rushwa za Ngono, Ulevi wa Pombe pamoja na Kupunguza Ubadhilifu wa Mali za Umma siyo Kuacha.
Sijui ni Bahati Mbaya au Walitaka kudhalilishana
Kumekuwepo na matukio mengi ya hatari Nchini.Watu kujinyonga, watoto kuua wazazi,wazazi kuua watoto pia na ulevi wa kupindukia. Kuna hitajika utafiti wa haraka wa afya ya akili za watu. Ugumu wa maisha na kupoteza matumaini kumeongeza msongo wa mawazo na uchungu. Ni hatari sana