@MagoigaS@JamiiForums Serikali iingie gharama upya ya kuchapa kadi nyingine watengeneze duplicate cards sababu wewe umehama mkoa?, halafu tutalaumu serikali ina matumizi mabaya
@YerickoNyerereT Katika Uchaguzi Mbowe anaungwa mkono na CCM ni huu, vijana wote wa Lumumba wako busy kumpigia kampeni Mbowe badala ya Lissu nadhani mna advantage ya kisiasa mwaka huu