@Getrude_mollel ajali kazini mbona viongozi wao na watoto zao wanagawiana vyeo na kujilimbikizia mali kwa njia za wizi na ufisadi acha izo we chawa iambie serikali yako aramu na bandia ya ccm iwape vijana ajira uone kama mavurugu na maandamano yatatokea acheni hizo nyie machawa
@MariaSTsehai jeshi gani hilo takataka wananchi waliwasogezea goli wafunge wakapiga pembeni sasa acha wapigishwe kwata na police ndio watajua awajui mabosi zao wapo kwenye mijumba yao ya kifahari wakula bata na familia zao wao wanatangiswa balabalanii awana ata maji ya kunywa ππππ
@godbless_lema uyu askari ni kilaza tu ni sawa na yule wa enzi za magu alikoswakoswa kunyofolewa vinyota vyake akabaki kusema niwie lazi niwie lazi πππ siku isiyo na jina inakuja jasho la meno litawatoka
@Twaha_Mwaipaya viongozi wa tanzania ni matomaso awahami mpaka waone ata maandamano ya October 29 walisema akuna nywinywi wala nyunyu kilichotokea walitufungia ndani sasa we waache waendelee kumzarau kanali wa nato na ameishatoa onyo mda ni jibu tosha ngoja tuendelee kula mtoli nyama zipo chini
@Sativa255 akili alizobakiza uyu jamaa mwenye kipara pumbu za nguruwe ni za kulinda mkundu wake tu usije ukapitiwa na popo bawa na hizo nazo zikiondoka kazi anayo πππ
@muhaluro1 wameitaka wenyewe chaguo letu wenyewe wacha waisome namba eeee December 9 ni siku ya uhuru wa Tanganyika mbele kwa mbele kazi mnayo bado amjasema πππ