Picha kushoto ni mshahara wa Mwalimu mwenye degree anae Anza kazi, Picha ya kulia ni Polisi mwenye degree Anae Anza KAZI (Constable)
Swali, kati ya watumushi Hawa wawili yupi anatumia kipato chake efficient and effectively?
Umewahi kupendwa hadi ukatamani kutoa USHUHUDA kwa wengine au kwenye nyumba za IBADA? Kama bado kutana na mwanaume wa kisukuma, utafurahi๐๐๐๐๐