Sema gavoo imeweka kodi nyingi sana za indirect taxes. Mfano kwenye umeme kila mwezi tunakatwa 1500. Hapo kuna kodi wanakata zile kila ukinunua umeme.
Ukituma hela kwenye sim unakatwa na ukitoa unakatwa. Nk
Dada zetu wanajitega na kuForce wapate Wazungu na kweli atapewa Bata la “Saving” hadi anatolewa Mavumbini anaenda Kiwanja America/Ulaya
Ukifika Nchini kwao na ukapata kazi kama hakujui vile mnagawana majukumu ya BILL nyumbani,,, we ukajua ukipata Mzungu ni kitonga 😂😂😂
Denis nkane ameanzisha channel yake ya YouTube! Video yake ya kwanza kafanya mahojiano na Kibwana shomari
Humu ndani kibwana kaelezea baba yake alivyomshika mkono kumtoa kijijini mpaka kuchezea team ya taifa ya vijana na soka la kulipwa kwa ujumla. Ukipata muda ipe sikio
Dogo nimempa 50k pocket money nikamwambia sina hela ila nikipata nitakuongezea kwenye account yako..akasema hiyo hela nyingi sana dada nipe 10k then utaniwekea 20k kwenye account ili na wewe ubaki na hela ya matumizi.🌚
#TajiriLaKihaya
Prayers have now finished for the funeral of Ayatollah Khamenei in Tehran
His coffin will is displayed for public viewing until the ceremonies move to Qom on Tuesday.
Ee Mungu, ninahitaji amani yako leo. Ondoa wasiwasi, hofu, na mashaka moyoni mwangu. Nijaze na utulivu wako, nionyeshe kuwa Wewe uko pamoja nami katika kila hali. Asante kunipa faraja na nguvu mpya. Amina.
Semen Retention increases the Testosterone level. Testosterone is a Primary Sex Hormone in male which deals with IQ, Mood, and Motivation. High Blood Testosterone level imparts a positive effect on IQ, Mood, and Motivation.
Mwanzoni kabisa World Cup ilipoanza nilitangaza kwamba mashabiki wenye haki humu ni wa ARGENTINA tu.
Hawa ndio hawapaswi kuwa na second team. Nyie wengine wote ni lazima muwe na backup yenu.
Leo ni zamu ya PORTUGAL tuliwapenda sana ila SPAIN kawapenda zaidi.⚽️