Niko na cuzo campo and since I know how hard it gets in campus huwa namuekea kitu randomly. Mambo imekuwa ngumu side yangu and mans called and said “nikiona hujaweka for a while it probably means mambo ni ngumu side yako so nimekuekea kitu kidogo helb iliingia”