😂😂😂😂Mnajaribu kuuzia uwoga watu hupanga line ya Super Metro ata kukinyesha?
Hizo Lines tutapanga na tutapiga kura. Hamtaiweka ati tunachukua kura ndo tukae “cool”. Hamtatushow ati “Huyo mtu hawezi toka na elections”
Hamtatuuzia Uwoga. Ata hatuna pesa ya kuinunua😂😂