Sasa wewe baada ya kukuangalia,I have realized you have nothing of meaning to say when it comes to anything that doesnโt involve a vagina and a penis. 50years of being alive you should have already known that. Nairobi has an annual budget of 40Billion. 40! Hiyo ni pesa inafaa itengeneze drainage zote,na ile imebaki itumike kuingiza wajinga kama nyinyi gumbaru school. We are suffering because of greed and recklessness,not because of Nairobi is a swamp. Kasia hii
Naona picha za floods everywhere buana. People will spend the night in cbd stranded. Cars destroyed na maji kwa nyumba za watu buana. Everything is a mess in Nairobi, but we thank God for Talanta stadium.
Hii Valentines ilikuwa nipee my woman a money bouquet lakini si Hata nyinyi mmeona Central Bank of Kenya (CBK) imesema that's damaging the notes isifanywe tena or ushikwe ๐