JIFUNZE KUHESHIMU HATA VILE VITU AMBAVYO HAVIFANYI KAZI KWAKO NA HUVIAMINI.
Last Week nilikua kwenye Usafiri Coaster naenda kumchek babu.
Sa ndani ule usafiri kulikua kumechangamka sana story zilikua nyingi watu full kucheka tu na mpigisha story zote aliku konda wa ile costa.
Being love and being used sometimes looks exactly the same,when someone is a good actor only time can save you. You will get dumped when the mission is accomplished or if she/he gets tired or when the right one has arrived.
We all want love so be careful what you get.
Gm fam.
Wengi wanaanza lakini sio wote wanamaliza mchawi, ni Mungu uvumilivu na consistency leo tena wakubwa.👊
Kumekucha ndugu zangu. 🙏
Good morning X family.👋
Nakubukanga nikiwa primary school tukiwa break time,we were chilling na marafiki tukiota jua, suddenly jamaa fulani akaniambia tuchongoane,kumbe alikuwa na grudge na mimi,nikamshw aanze,heh,akanishw....
Tunisia kwenye match za kufuzu kombe la dunia alicheza game 10 akafunga goli 22 hakuruhusu goli hata moja.
Leo kwenye world cup game ya kwanza tu kala chuma 5 tena na Team ambayo sikua naitazamia kama itakua ya moto vile tulia wajapan waje mamake😅
Ivory Coast wameipa Afrika alama ya kwanza ya ushindi kwenye Kombe la Dunia 2026.
FT: Ivory Coast 1-0 Ecuador
Amad Diallo ametoka benchi na kuibadilisha kabisa kasi ya mechi, huku Caicedo na wenzake wakipata wakati mgumu kumdhibiti.
Tembo wameanza kwa kishindo. 🐘
For your sanity,it's important to have an understanding and supportive partner,life is already hard and the economy is bad,if the relation problems add up to that then you might go crazy.
Have someone who understands you well and then focus on hustling.
Good morning fam.
Inasikitisha sana kuona kijana wa Kitanzania anasoma digrii miaka mitatu au minne,
anakesha akisoma, anafaulu vizuri, halafu akija mtaani nafasi ya kazi anapewa mtu ambaye hana sifa yoyote
isipokuwa tu "baba yake anamjua mkurugenzi."
Mafanikio si kuwa bora kuliko wengine, bali ni kuwa bora kuliko yule uliyekuwa jana. Ukifanikiwa kuboresha maisha yako kidogo kila siku, basi tayari upo kwenye njia sahihi ya ushindi mkubwa.