Weekend ndo inaanza๐บ๐พ๐ , Mpango ni TemboCard Visa ๐ณ
Fanya malipo yote na TemboCard Visa ๐ณ yako kwenye mashine za POS na malipo ya mtandaoni kwani ni rahisi na salama zaidi.
#tembocardvisa#crdbbank#tunakusikiliza
๐ Hivi kweli utaiangalia tu TZS 300M ipite?
Mtumishi wa Umma, pata mkopo hadi TZS 300M ndani ya masaa 24 โฐ kwa riba ya 16% na ulipie hadi miaka 12.
๐ ESS: Chagua CRDB
๐ Au tembelea tawi
#KopaKimpangoWako#CRDBBank#Tunakusikiliza
Andaa visweta ๐งฅ๐ฅผtunaenda Ulaya ๐ฐ
Lipia shopping ๐๏ธ zako zote kwa Lipa Hapa ndani ya SimBanking ๐ฒ uingie kwenye droo za mkwanja๐ฐ kila wiki, mwezi au safari za Ulaya ๐ฐ na Serengeti ๐ฆ ๐
#simbankingkimpangowako#crdbbank#tunakusikiliza
Fanya mpango wa kutuma pesa bongo!๐๐
Rahisisha kutuma pesa kwa kutumia washirika wetu wa kuaminika hapa Bongo
Haraka, Salama, Bila Mipaka
Karibu Tawi lolote la Benki ya CRDB kupokea pesa bure.
#benkikimpangowako#crdbbank#tunakusikiliza
Muda umekutupa mkono? Usihofu! ๐๐ฒ
Lipa tiketi yako ya SGR kupitia SimBanking ya CRDB na uingie kwenye droo ya kushinda safari za Ulaya, Serengeti au mkwanja kila wiki. Pakua SimBanking App au piga 15003#.
#SimBankingKimpangoWako#CRDBBank#Tunakusikiliza
Boom la Miujiza! ๐
Nunua muda wa maongezi kupitia SimBanking na upate nafasi ya kushinda mkwanja, smartphone au laptop!
๐ฑ SimBanking App โ Muda wa Maongezi โ Weka namba na kiasi โ Endelea.
#SimBankingKimpangoWako#CRDBBank#Tunakusikiliza
Tunaskan kiushindi! ๐
Lipa kwa CRDB Lipa Hapa kupitia SimBanking App au 15003# uingie kwenye droo za kushinda mkwanja ๐ธ kila wiki, mwezi na safari za Ulaya ๐ฐ au Serengeti ๐๐ฆ
#simbankingkimpangowako#crdbbank#Tunakusikiliza
Kama unatamani kuwekeza kwenye hisa, hii ni kwa ajili yako.!
Jifunze tofauti ya gawio na capital gain kupitia darasa la Anna Mwasha kuhusu hisa za CRDB Bank.
Anza safari yako ya uwekezaji kwa uelewa sahihi
Bofya ๐
https://t.co/4c4ugCjXgr
#CRDBVijanaUwekezajiHisa
Kikundi, michango iendelee ๐!
Anza kuweka akiba sasa kupitia Nia Moja na panga mwaka bila stress.
Faida:
โ Hakuna gharama za mwezi
โ Kutoa fedha bila malipo
โ Rahisi kupitia SimBanking au CRDB Wakala
โ Riba kwenye akiba
โ Taarifa moja kwa moja kwenye simu
#SietuPohuku
WAFANYA BIASHARA huu ni muda wa kusaidiana! Weka biashara yako na huduma zako kwenye COMMENTS hapa chini, na tutazi-repost hadi ziweze kufikia wateja wako! ๐
๐๐พ Leo tujitahidi kuinua biashara za kila mmoja,kwani hata mafundisho yanasema Tunainuka kwa kuinua wengine. ๐๐พ
Ni jambo jema kumshukuru Mungu kwa urahisi na kutoa sadaka kupitia SimBanking ๐ฒ
Jinsi ya kutoa sadaka:
1.Piga 15003# au fungua SimBanking App ๐ฒ
2.Chagua 3 โ SADAKA
3.Chagua 2 โ Toa Sadaka
4.Chagua 1 โ Binafsi
5.Weka namba ya Nyumba ya Ibada, kisha endelea.
#SietuPohuku
Ingekuwa wewe, ungejiteteaje?
Sisi tupo hapa. Jiunge na CRDB Bank upate Ada Loan ๐ฐ kupitia SimBanking ๐ฒ
๐ Ondoa usumbufu wa mtoto kuchelewa shule mwaka huu.
Tazama video ujifunze hatua za kuomba mkopo.
#SisiTupoHuku#CRDBBank#Tunakusikiliza
January hakuna tena stress ya ada! ๐๐ธ Pitia video hii ujue jinsi ya kulipia ada kupitia SimBanking App ya CRDB. Haraka, rahisi, na salama! CRDB ipo hapa kukusaidia, hakuna sababu ya kufikiria namba ya Mwalimu Mkuu! ๐๐ฒโ
#sietupohuku#crdbbank#tunakusikiliza