Tujiandae kwa Ibada ya kesho.
Aprili 13, 2025, DOMINIKA YA MATAWI.
Mt 21:1-11 (Kutangaza ujio wa Bwana, Baraka ya matawi)
SOMO 1: Isa 50: 4-7
WIMBO WA KATIKATI
Zab 22: 8-9, 17-20, 23-24;
SOMO 2: Fil 2: 6-11
INJILI: Lk: 22:14 - 23:56.
Maandalizi mema & Dominika njema🙏