Nilikuomba mkopo wa mwezi mmoja tu ukashindwa kutoa pamoja na kujinasibu kuwa wewe ni bilionea. Kama ulishindwa kunikopesha pikipiki 25 kwa mwezi mmoja tu, utaweza kulipa bilioni 20 za Simba? Naishukuru Corona event yangu iliahirishwa nikapata hela nikaja kununua KWAKO kwa cash!
RASMI: UEFA imeahirisha mechi za mzunguko wa pili wa Ligi ya Mabingwa zilizopangwa kuchezwa Jumanne ijayo.
Manchester City walikuwa wanamkaribisha Real Madrid na Juventus walikuwa wenyeji wa Lyon.
I'm proud to be at EY, At EY we leave as a family, there is a lot of resources to learn and improve yourself. They care about your personal growth and branding. Welcome to EY to enjoy the advancement of Technology. #EY#AuditorProud! @EY_Africa
Hii ni โkanuni ya mafaoโ. Kanuni hazitungwi na Bunge. Zinatolewa na Waziri mwenye dhamana. Na hii inanipa picha kwamba watu wengi wameingia kwenye mjadala wa mafao bila hata kuuelewa chimbuko lake, bali moja kwa moja wameamini maneno ya wapinzani! Bila kuchuja wala kuchambua!
Captain Richard Shaidi-Mkurugenzi wa uendeshaji na ufundi wa Shirika la Ndege Tanzania @AirTanzania ameeleza kuwa ni nchi 3 pekee Afrika (Morocco, Kenya & Ethiopia) zinamiliki ndege za kisasa aina ya Boeing 787-8 Dreamliner. Tanzania inakuwa ni nchi ya 4 kumiliki ndege hiyo
Uhuru wa kupewa. Demokrasia ya kupewa. Tusipobadili hii historia ya miaka karibu 60 sasa, nchi itaendelea kuwa ya Watu walalamishi wanaosubiri kupewa tu. Uwezo wa kubadilisha tunao kwa kutumia Umma. Tubadilishe historia hii kwa kuchukua Demokrasia yetu badala ya kusubiri kupewa