Najua kuna mioyo ya watu inaugua hata kama hawana mahali pa kusemea. Inaugua kwa mambo yanayoendelea katika jamii. Askofu Fedrick Shoo akizungumza katika mazishi ya Johara Mtei.
Mgombea wa CCM kaishiwa pumzi mapema kwenye Kampeni. Wameona wamzuie na Maalim @SeifSharifHamad. Tulikwambieni #Zanzibar si lelemama hamkusikia. Sasa mtajua kuwa kuupanda mchongoma kuushuka ndiyo ngoma. Mwaka huu mtajua hamjui. #ZanzibarDecides2020
Hatimaye baada ya miaka 28 ya mfumo wa vyama vingi vya siasa hapa nchini, historia inakwenda kuandikwa ndani ya siku 14 zijazo. Mnafunga banda wakati farasi keshatoka? 😂😂😂🤣🤣🤣
#ZanzibarDecides2020#TanzaniaDecides2020
Wimbi hili ni kubwa! CCM anzeni kujiandaa kisaikolojia kukabidhi madaraka #Zanzibar na #Tanzania kwa Rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. @TunduALissu na Rais ajaye wa Zanzibar, Maalim @SeifSharifHamad. Your days in office are numbered!