BACK BENCHA tunawakumbusha Kuna watu hujawahi KUGOMBANA nao lakini WANAKUCHUKIA ile MBAYA na vile vile kuna watu hujawahi WASAIDIA chochote lakini WANAKUPENDA ile MBAYA wanatamani hata siku moja mkutane mpige stori PAMOJA.
Hii ndo maana HALISI ya MAISHA,tunaenda na wanaoenda na sisi hao wengine wataenda na wengine acha kupoteza muda KUJIELEZEA sana KWAO.
Morning Africa.