Maombi yako hayajibiwi haraka kwasababu mahusiano yako na Nguvu ya Uungu yanakuwa mazuri pale tu unapokuwa na shida zako au za kimaisha. Sidhani kama wewe ungeweza kumsaidia kwa wakati mtu anayekukumbuka akiwa na matatizo tu. Nahisi ungemtaa kabisa. Badilika.
In June.
No soda ✅
No alcohol ✅
No smoking ✅
No hard drugs ✅
Blocked someone ❌️
Travelled on holiday ✅
Favourite drink: water ✅
Saved/invested money ✅
Helped someone in need ✅
Exercised 3-4 times/week ❌️
8/10
Copy and fill with yours!
@MarekaMalili Katika timu Africa huyu ndo kapata kibonde nikiangalia mechi ya kwanza kashinda na ya pili ni uzembe Germany alikua hatoboi..na ya tatu nikiangalia profile za wachezaji Africa hapa africa wanaocheza nje unajiuliza ndo hawa hawa ama
Hospitali inapovutia wagonjwa kutoka maeneo jirani, ni ishara kwamba huduma zake zimeanza kujenga imani.
Imani ya wananchi ni moja ya vipimo muhimu vya ubora wa huduma za umma. #RaiaMakini#Mpimbwe@policy_F
Financially - I'm going to win.
Career wise - I'm going to win.
Mentally - I'm going to win.
Emotionally- I'm going to win.
Physically - I'm going to win.
Family wise - I'm going to win.
With love - I'm going to win.
In my life - I'm going to win.
I'm manifesting it all in 2026.
Sahau kuhusu bahati, sahau kuhusu miujiza ya usiku mmoja.
Siri kubwa ya utajiri wa kudumu duniani imejengwa kwenye kanuni moja ya hisabati:
"Money is an echo of value."
Pesa ni mwangwi wa thamani.
Na thamani inajengwa na kitu kimoja tu: PROBLEM SOLVING.
Njoo Nikuibie Siri:👇
Kauli ya Mchungaji Rose Shaboka imezua mjadala mitandaoni baada ya kuzungumza kwenye kipindi cha LetstalkShowtz mwezi Juni 2026, ambapo alisema:
"Yule mzee Mushi kule kijijini amenisomesha, kuanzia chekechea hadi Form Six, nikaenda Chuo Kikuu, nikapata Degree ya kwanza, ya pili, ya tatu, ya nne, nije kuishia kufua boksa, niishie tu kupika? Nooo!..."
Akaongeza:
"Wengi hapa wanachowaza ni mahusiano, hulali unachowaza ni mahusiano. Mahusiano utayaingia, utayachoka, tuulize sisi. Mwanaume anaheshimu mwanamke ambaye ana maisha nje ya mahusiano; mwanaume anaheshimu mwanamke ambaye anaweza kusimama bila yeye."
Kauli hiyo imeibua mjadala kuhusu nafasi ya mwanamke katika kujenga taaluma, kujitegemea na namna ya kusawazisha maisha binafsi na majukumu ya familia.
Je upi Mtazamo wako? Weka maoni Yako na shirikisha wengine
Unaambiwa “Fanya kazi kama mtumwa; ili uishi kama mfalme”! Kisha unakutana na wafalme ambao hawajawahi kufanya kazi kama watumwa; na watumwa ambao hawageuki kuwa wafalme!
If ten people are laughing at one person... don't study the victim. Study why ten adults needed an audience to feel brave. That's where the real story hides.
Soko la soda za Pepsi lipo sana kanda ya ziwa tena ukiagiza inabidi ukae hata wiki mbili unasubiri mzigo
SBC Mwanza inazidiwa wateja mpaka sometimes inabidi uagize mzigo Dar es salaam, kama una kibunda wekeza kwenye hiyo sector.
Mmefatilia utoaji wa magawio leo? Hata TTCL wameanza kupata faida, aisee! Au huku mazuri yanayofanywa na CCM hayajadiliwi? 😁 Au macho yenu yanaona mapungufu tu?
Kwa upande wangu, nimefurahi kuona mashirika yetu ya umma yakipiga hatua, yakianza kutengeneza faida na kupunguza utegemezi kwa asilimia 12. Hata Shirika la Posta Tanzania linaanza kupata faida. Haya ni matokeo ya uwajibikaji, usimamizi mzuri na juhudi za serikali inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan. 💪🏿
Hapa ndipo tunapotumia kauli yetu: Mama anaupiga mwingi.
Kuna kitu kinaitwa Divine Replacement.
Ni pale Mungu anapokiondoa kitu ulichoamini huwezi kuishi bila hicho.
Halafu anakupa kitu ambacho hukuwahi hata kufikiria kukiomba.
Good Morning.
Mhubiri 9:11
“Nikarejea,nikaona chini ya jua ya kwamba,wenye mbio sio washindao mbio,wala wenye nguvu sio washindao vita,wala wenye hekima sio wapatao chakula, wala wenye akili si ndio wapatao mali, wala wenye maarifa si ndio wapatao kibali; bali wakati na bahati huwapata wote.”
Kuanzia Jumatatu, Whatsapp inaanza kuruhusu watu kuchat bila kubadilishana namba. Kitakachokuwa kinatumika ni “username” kama ilivyo kwenye mitandao mingine mfano Instagram, X nk. Hivyo hautahitaji tena kuwa na namba ya simu ya mtu ili muweze kuchat kwa whatsapp, bali username tu
"Kama mtu angeniuliza ni nini kiongezwe kwenye masomo ya udereva ningesema kiongezwe kipengele cha kukwepa mashimo. Yaani mtu anapojifunza udereva ajifunze pia namna ya kukwepa mashimo. Sasa ukiongea hivi kuna mtu anakasirika ila mimi nasema barabara zetu za Tanzania zimejaa mashimo."
Mimi nazunguka nchi nzima, kuna barabara kama ya Moshi- Arusha, Manyoni mpaka Mwanza, Igawa mpaka Tunduma hizi ni barabara balaa hupaswi hata kutembea usiku. Ninaposhambulia barabara zetu mbovu, hakuna wa kuzitunza halafu watu wapo ofisini wanakula hela bila kuzufanyia kazi. Mpaka barabara inakuwa na shimo katikati ya Mji, hilo shimo limeanzia kwa Mkuu wa Mkoa, Meya na Mbunge, vichwa vyao vina mashimo."Mchungaji Daniel Mgogo akizungumza na chombo kimoja cha habari leo Jumapili Juni 28, 2026.