@CrownMediaTZ Nchi imetengeneza matabaka mawili,kuna tabaka moja lina mamlaka ya kuishi watakavyo ila kuna tabaka lingine linatakiwa liishi kama nyoka.
Sote tumeumbiwa kuishi na tumeumbiwa Vifo,urais hauwez kumfanya mtu awe Mungu
@millardayo Kumbe hata yeye anachofanyia watanganyika hajui?
Ila subirini tutafutahi muda sio mrefu tu. Hakuna jambo baya kama dhulma. Utalipa wewe na nafsi yako
@AdvMatata@MuggyMaggy Nchi imeamua kujiongoza yenyewe bila viongozi.
Watu tuliowachagua wamesahau majukumu yao,wamelewa wamelala. Ila kitambo kidogo tutafika tunapoelekea
Nyie MAGEREZA Mteseni TUNDU LISSU Huko Gerezani Lakini Mkae Mkijua Akitoka Atasimulia Mateso Yote Kwa Wananchi Na Dunia Nzima. Ataanika Unyama Wenu Wote Hadharani. Kupigania HAKI Sio UHAINI
@mangekimambi Hao polisi hata usiwaongelee kabisa.
Polisi wale wapo kama wananchi wanaopiga kura Kwa ccm kisha wanalia maisha magumu.
Ni miongoni mwa wale wasiojua uchaguzi sahihi ni upi kwenye kuikimbiza shida
Seneta wa Kaunti ya Nairobi nchini Kenya Edwin Sifuna akifanya mahojiano na kituo cha habari na kueleza namna demokrasia inavyozidi kukimbiwa na nchi za Afrika Mashariki. Credit @MwanzoTv
Matamanio yetu ni kujenga Tanzania yenye furaha, ambayo kila mtu atakua na kazi ya kufanya na kujipatia kipato halali.
Inawezekana.
#NoReformsNoElection
@Sativa255 Sawa ngoja sasa tujiandae maana ni rasmi kwamba sisi hatutakiwi kwenye hii nchi,acha tuichukie maana kama hatutakiwi nasi hatuna sabab ya kunipenda na viongozwi wake
Ninawashukuru Watanzania wote, kwa mshikamono wenu wa kupiga vita udikteta katika Nchi yetu.
Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani.
Kesho saa saba mchana baada ya kikao cha viongozi wakuu wa chama tutazungumza na vyombo vya habari.
Msiogope hata kidogo, tutashinda vita hii.
#NoReformsNoElection
"Mkoa wa Dar es Salaam wenye wapiga kura milioni tatu una majimbo 10, lakini mkoa wa Mtwara wenye wapiga kura laki tisa una majimbo tisa" Mhe. @duahamud Katibu Mkuu, Bavicha Taifa.
#NoReformsNoElection
@HecheJohn Wapuuz hao viongozi wao wnashindwa kutatua changamoto za watanzania sasa wanadhani suluhisho ni kuwakamata wapinzani. Watakamata na kuuwa sana ila kila siku wapinzani wanazaliwa