Mungu katuamsha leo tena, leo atukumbushe tu kwamba sisi sote ni wadhambi, Hivyo tusiwe tunahukumu wengine kwa makosa yao yaliyojulikana hadharani ambayo sisi tunayafanya sirini.
Good morning👋
@Savasec mchumba asomeshwi,kafanya jambo la kipuuzi sana basi angejifunza ata Kwa watu waliomtangulia,wanawake huwa Awana huruma,pia kafanya kosa kubwa sana kujiua,
God did... We won ❤️
Thank you my first Twitter customers.... For trusting us
SPOTLESS CLEANERS DODOMA, best cleaning company central zone 2025 - 2026.