Usiwe kama Kenge wa Maziwa๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Na tukutane leo #TOTBonanza@TOTBonanza ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Watu ambao huwa wanakufa ghafla wengi wao huwa wanaugua ndani kwa ndani bila matangazo. Baba anaumwa lakini akiangalia mzigo nyuma yake analazimika kutoka kwenda kutafuta chochote. Tunapishana tu barabarani lakini watu wamebeba maumivu makali kwenye miili yao. Lifeโs a b**ch!!
@uptown_watches@BillyTronix1 USIRI unapeleka mzigo leo usiku wa Iringa tuu hapo unafika kesho usiku, mteja aende kuupokea keshokutwa, jamaa nao ni changamoto mno katika kuzingatia muda