@EduTalkTz@MwanaFA@SuluhuSamia Kama vyama vyote vya michezo vipo dar tu unadhani tutapata wanamichezo bora kweli
Wakati huo vyama vya mikoani viongozi wakipewa kibunda hawahangaiki tena na vipaji
@HildaNewton21@tanpol Hata mimi nikimkamata mtu anatumia line yenye jina langu lazima aende ila hatujui line anayotumia lucy na aliyemsajilia wanamahusiani gani