Kinachofanya tumtetee Issa Mwamba (Sukununu01) ni kutokuwa na usawa katika uchukuaji hatua za kisheria na uhuru wa kujieleza wa kibaguzi.
Kunatofauti gani Kati ya watu hawa wawili..?
Kwanini mmoja awe mahabusu na mwingine awe uraiani..?
Women come and go. No woman is worth stressing over. Life goes on. Dont get left behind dwelling on the past. RECENTER YOURSELF. Focus on yourself and your goals.