Kiwango kimoja cha kumtegemea Mungu ni kumuomba Yeye pekee mahitaji yako yote. Lakini kiwango cha juu zaidi ni kuamini kuwa baada ya kumuomba, Atajibu kwa namna bora zaidi, kwa wakati bora zaidi, kulingana na hekima Yake — si mipango yako.
Ukifikiria Kwa Umakini Utagundua Mchongo Pekee Tunaousikilizia Na Ambao Tuna Uhakika Uta-Tick…
Piga! Ua! Garagaza…!
Ni KIFO.
Huu Mchongo Lazima Utick…
So,
Tusiogope Ku-Take More Calculated Risks.
Ubaya una muda mfupi wa furaha, lakini una deni refu la majuto, Kila machozi ya maumivu unayosababisha kwa wengine, yanaandika hadithi yako mbele ya maisha 😢
MIDWEEK ⚽️
Top 30 🥶🙌🏿🫶🏿
✅1. Arsenal - Over 0.5
✅2. Real Madrid - Over 0.5
✅3. Flora Tallin - Over 0.5
✅4. Vaduz - Over 0.5
✅5. Barcelona - Over 0.5
✅6. PSG - Over 0.5
✅7. Dinamo Zagreb - Over 0.5
✅8. Nomme Kalju - Over 0.5
✅9. Paide - Over 0.5
✅10. Aston Villa - Over 0.5
✅11. Crystals Palace - Over 0.5
✅12. Finland U19 W - Over 0.5
✅13. England U19 W - Over 0.5
✅14. Israel U19 W - Over 0.5
✅15. Crvena Zvezda - Over 0.5
✅15. Marseille - Over 0.5
✅16. Monaco - Over 0.5
✅17. Twente - Over 0.5
✅18. RB Salzburg - Over 0.5
✅19. Krasnodar U19 - Over 0.5
✅20. Zenit U19 - Over 0.5
✅21. CSKA Moscow - Over 0.5
✅22. Westerlo U21 - Over 0.5
✅23. Kortrijk U21 - Over 0.5
✅24. RWDM U21 - Over 0.5
✅25. Mechelen W - Over 0.5
✅26. Torbosko - Over 0.5
✅27. Ferencvaros - Over 0.5
✅28. Vikingur R - Over 0.5
✅29. Zalgris - Over 0.5
✅30. Ards - Over 0.5
Here we Go Again 🫡
"POSIONING" na "TIMING" ni vitu muhimu sana kucheza navyo kimkakati iwe kazini, au kwenye biashara.
Na hii ni kwa sababu, sokoni kuna watu wenye bidhaa au huduma isiyo bora kama yako, lakini wanauza sana kuliko wewe kwa sababu ya 'positioning and timing'.
Kazini kuna watu umewazidi pengine ujuzi na uzoefu lakini wanapata sana fursa kuliko wewe, kwa sababu wanajua, 'Kuji-position na timing'.
Haitoshi kujua kuna fursa XYZ na kuisubira. Bali, inahitaji ujiweke kimkakati na ku-grab mapema.
Kwa hiyo;
Ku-jiposition siyo kujipendekeza, ni LEVERAGE, wakati wengine wanaelea juu juu, wewe unapiga mbizi. Wakati wanapiga mbizi, unaibuka juu.
Pia, timing siyo kuharakisha, ni SPOTING Opportunities, wakati wengine wanashutuka wewe tayari unavuna, wakianza kuvuna, wewe unatafuta spot nyingine.
Hayo yote utaweza kama utajifunza namna ya kutambua na kutengeneza Pattern (Pattern recognition and creation) katika unachokifanya.
Kuna kitu kimoja ambacho ukifanikiwa kugundua katika maisha yako UKAIFANYA, itasabisha "Ripple effect" katika vitu vingine.
Yaani, ni kama ukirusha jiwe kwenye bwawa. Matokeo huoni tu pale jiwe lilipotua, bali mawimbi hutengenezwa hadi kwa ukingo.
Kwenye maisha inaweza ikawa ni;
- Kujenga tabia fulani.
- Kutengeneza routine fulani.
- Kujifunza ujuzi fulani.
- Kufanya kozi fulani.
- Kufungua biashara fulani.
- Kupata kazi fulani.
- Kupata mradi fulani.
- Nakadhalika nakadhika.
Inaweza ikachua muda kupata hicho kitu ambacho ukipatia itaathiri maisha yako kwa upana katika namna chanya lakini;
Endelea ku-experiment mpaka upatie. Kwa maana kadri unavyozidi kuwa kwenye "Momentum" chance inakuwa kubwa ya ku-click.
Endelea kukoleza signal yako!
EFM.
Unlock and live your dream!
Porn over purpose is killing a generation of men. Stop watching people have sex. Get closer to God. Live to your fullest potential. Live a fulfilling life with memories instead of regrets.