Ndani ya masaa 48 tumefikia 10% ya 340M.
Hiki chama ni dude kubwa sana. Licha ya makelele yote wananchi wameamua kufanikisha hili na hakuna wa kuturudisha nyuma.
Hakikisha unarepost ujumbe huu unafikia maelfu ya Watanzania watimize haki yao ya kikatiba kuchangia MABDILIKO YA KWELI KWENYE TAIFA LETU.
#FreeTunduLissu
#KatibaMpya
REPOST 500
Mungu azidi kuwabariki wateja wangu ❤️🙏asante kwa support yenu 🥳🥳🥳mmetisha sana amini nawajenga 😃🤸♀️🤸♀️🤸♀️karibuni tena fanty dagaa
📍Mwanza
🚚mikoa yote natuma kwa uaminifu 🫡
Dar es Salaam is painted red and white today! 🇹🇿✨
Simba SC fans have taken over the city as they celebrate in incredible fashion after their latest Cup victory over Azam.
What a day for the Wekundu wa Msimbazi faithful! ❤️🤍
#AfricanFootball#NguvuMoja
Hakuna kutegemea nguvu ya wasanii wala kusubiri siku ya nusu kazi watu wakitoka kazini ndio wakababaishe.
Hawa ndio WANASIMBA, mashabiki pekee wenye Tuzo ya Mashabiki Bora Afrika. Mtajua hamjui 🤣 #NguvuMoja