Ee Baba wa mbinguni,
Nikuja mbele zako asubuhi hii kwa moyo wa unyenyekevu na shukrani.
Tunaomba ulinzi kwa kiongozi wetu Tundu Lissu, wote wenye nia ovu dhidi yake wakutane na mkono.
Amina 🤲
Kwenye Viwanja vya Mwembetogwa leo Jumamosi Juni 13, 2026,wakati wa Mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tanzania bara Bw. John Heche, Mwanachama wa Chadema na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini Mch. Peter Saimon Msigwa amewaomba radhi wananchi wa Jimbo hilo kutokana na maamuzi yake ya kukikimbia Chama hicho na kutimkia Chama Cha Mapinduzi wakati wa Uchaguzi Mkuu, akisema anajutia kwa maamuzi aliyoyafanya yakitokana na ubinafsi uliomfanya kuchukua uamuzi aliouchukua hapo awali.
"Ninyi wananchi wa Iringa ndio mlioniweka kwenye ramani ya siasa Tanzania, nimesimama mbele yenu kwa unyenyekevu mkubwa sana kuwaomba radhi. Nilikimbia vita katikati ya matatizo, sikupaswa kufanya yale maamuzi niliyoyafanya pamoja na kwamba inawezekana niliumizwa ila nilipaswa kuangalia picha kubwa ya kutetea haki za wanyonge, kuwa sauti ya wasiokuwa na sauti, sina maneno mazuri sana, naomba mniwie radhi. Hakuna maisha magumu kama kuishi kwa wakwe, nilikuwa ukweni." Amesema Mch. Msigwa.
Msigwa akirejea historia kadhaa katika Kitabu kitakatifu cha Biblia, amesema awali alijali zaidi "ego" yake, akiahidi kuwa sasa atakuwa kama simba aliyepoteza watoto wake katika kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi CCM kinang'oka madarakani.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu Umma kuwa Alhamisi, tarehe 11 Juni 2026, Mahakama ya Rufani ya Tanzania jijini Dar es Salaam itasikiliza Maombi ya Jinai Na. 7440840/2026 kati ya Jamhuri na Mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu.
"Hili zigo tunalibebesha kwa Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es salaam na Mkoa wa Kipolisi wa Ilala na wilaya zake zinazohusika na eneo hilo la Mahakama hizi mbili, za Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa." Mhe. @jjmnyika
Tundu tushampa Nondo zote zinazotakiwa kesho pale mahakama ya Rufaa!!
Kesho ni siku nyingine ya kiwanda cha elimu kutoka shule kuu ya sheria!! Tujiandae kupata burudani.
Kesho ni mwendo wa kuweka vyuma tu, Sisi hatuchekeshi kwenye maswala yanayohusu uhai na haki za watu.
Unatimiza mwaka jela. Aliyekutupa jela, akazuia CDM kufanya siasa, akateka na kupoteza wakosoaji akidhani itakuwa rahisi kuwa rais, alikataliwa na umma hadi akauwa maelfu ya watu. Ananuka damu za watu. Anasubiri hukumu ya haki. Stay stronger, see U soon, Tundu Lissu!
Tunachukulia persona mateso ya Tundu Lissu.. na majaribio yote si tu ya kutuuwa, bali pia kuondoa uwezekano wa sisi kutendewa kama watu. Kutupwa jela, kutekwa, kuteswa na zaidi, haitakuwa bure, na hatasahau! Hatutakubali kuwa raia wa daraja la pili mbele ya muuwaji Samia!
Today marks one year since Tundu Lissu was arbitrarily detained and denied his fundamental rights. Please share this and visit https://t.co/xskhqPZgUd for more information.
#FreeTunduLissu
—Admin