“Tusiwe tunanyoosha kidole kwa Mwigulu Nchemba peke yake huku ni kuchagua mtu rahisi wakati mtu wa kwanza anayepaswa kunyooshewa kidole ni Rais” - @TunduALissu#KatibaMpya
Hatimaye mahakama kuu kanda ya Nyanda za Juu Kusini umemuachia huru aliyekuwa diwani (CHADEMA) wa kata ya Isengule wilaya ya Tanganyika mkoa wa katavi ndg. Oscar Sangu na wenzake watano(5) baada ya kukaa gerezani kwa tuhuma za mauwaji kwa zaidi ya miaka mitatu(3)
Usiku wa kuamkia leo. @bavicha_taifa tumepokea ugeni kutoka Baraza la vijana wa chama cha Conservatives cha Denmark. Katika ziara inayongozwa na Mkt wa Baraza la vijana @MagnusVonDrei na @P_Sandager. Lengo la ziara ni kuimarisha ushirikiano kati ya mabaraza yetu.