@hancymachemba@Rydx_017 Kajibiwa vizuri tu kuwa tarifa ya Mteja ni siri kwa kuwa yupo muhusika aleze mwenyewe. Sasa unamlazimisha afisa atoke kwenye maadili yake ya kazi? Yeye km mbunge ndio pakupeleka hoja binafsi sasa juu ya hiyo sheria
Breaking News!!
Lucy Shayo(Binti Lissu) amekamatwa jana tarehe 30/11/2025 na Jeshi la Polisi akiwa Tanga mjini.Hadi sasa haijulikani kituo cha polisi alichopelekwa.
#BreakingNews Mwenyekiti wa @bavicha_taifa na wakili wa Mhe. @TunduALissu Mhe. @AdvMahinyila na watu wengine zaidi ya 8 asubuhi hii wamekamatwa na Jeshi la Polisi nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam.