@HenrqSam@MaigeGerald1@YourFrenchFry@abramadrid_ Ndio maana wamebalance kwenye kazi za masaa/part time wazazi wote wawili mnasaidiana binafsi baada ya kuzaa ilibidi nifanye kazi weekend tu ili nikae na mtoto nyumbani.
@MaigeGerald1@YourFrenchFry@HenrqSam@abramadrid_ Uzungu gani kaka maana hao wazungu wenyewe hawanaga dada wa kazi wala msaada wowote.Haya mambo ya uzazi naona ni vizuri kupata elimu kutoka kwa madaktari opinions zenu zinafikirisha.